Rose Muhando – Yesu Karibu Kwangu

Deal Score0
Deal Score0

Rose Muhando – Yesu Karibu Kwangu

Baba, baba
Kikombe nimekinywea
Hukumu nimechukua
Mateso nimeyapokea

Maumivu nimevumilia
Kama ulivyosema mwenyewe
Hakika nimekinywea
Oooh Halleluyah

Yesu, Yesu
Yesu, Yesu
Karibu kwangu

Eh…eh…eh.
Karibu kwangu

Ewe Yesu..Yesu
Bwana Yesu…Yesu
Nakuhitaji
Karibu kwangu

Mpenzi Yesu..Yesu
Bwana Yesu…ewe Yesu
Karibu kwangu

Maumivu yangu, wayajua Yesu
Kilio changu, kikufikie Yesu
Nakuita karibu

Chini ya mretemu
Nimelala Yesu
Mateso ni mengi
Nimechoka Yesu
Nakuita karibu

Mfariji njoo
Mtetezi njooo
Mtoshelevu njoo
Baba yangu njooo
Nitangoja

Ewe Yesu..Yesu
Bwana Yesu…Yesu
Nakuhitaji, karibu kwangu

Mpenzi Yesu..Yesu
Bwana Yesu…ewe Yesu
Karibu kwangu

Uko wapi Yesu
Ewe Yesu, bwana Yesu
Karibu kwangu

Njoo Yesu, njoo Yesu
Uje Yesu, nakuhitaji
Karibu kwangu

Usiniache Yesu
Ewe Yesu(Nimekukaribia Yesu)
Bwana Yesu(Siwezi peke yangu)
Karibu kwangu

Disclaimer: "The lyrics are the property and copyright of their original owners. The lyrics provided here are for personal and educational purposes only."
We will be happy to hear your thoughts

      Leave a reply

      Welcome to Christianmedias’ Tamil Christian Song Lyrics. Here, you will find lyrics for many of your favorite songs from today’s top contemporary Christian music artists. Our collection includes Gospel music lyrics, contemporary Christian music lyrics, and black Gospel song lyrics.

      Tamil Christians Songs Lyrics

      Tamil Christian music inspires and comforts believers globally, blending biblical truths with beautiful melodies and meaningful lyrics. world Tamil christians explores the collections of Tamil Christian song lyrics, Daily Bible verse and worship songs lyrics,new year songs,christmas songs & more.

      Follow Us!

      christian medias ios app
      WorldTamilchristians-The Collections of Tamil Christians songs Lyrics
      Logo