Nalikungoja Bwana kwa zaburi – Dr Sarah K & Shachah Team – WIMBO MPYA

Faith Score+2
Faith Score+2

Nalikungoja Bwana kwa zaburi – Dr Sarah K & Shachah Team – WIMBO MPYA

Nalikungoja Bwana kwa zaburi,
Ukasikia kilio changu x2

Umetia wimbo mpya kinywani mwangu,
Umetia wimbo mpya ndio sifa za Mungu x2

Umeisimamisha miguu yangu mwambani,
Hatua zangu umeziimarisha x2

Kuyatangaza na kuhubiri matendo Yako,
Ni mengi hayahesabiki,
Kuyafanya mapenzi Yako,Ewe Mungu wangu,
Ni furaha ya moyo wangu

Tags:

We will be happy to hear your thoughts

      Leave a reply

      About Us

      Part of the Christianmedias organization, we are dedicated to sharing worship music to inspire prayer and devotion worldwide.

      World Tamil Christians - The Ultimate Collection of Christian Song Lyrics
      Logo