Korean Christian Song | Upendo wa Kweli wa Mungu | Haleluya! Msifuni Mungu! (Music Video)

Korean Christian Song | Upendo wa Kweli wa Mungu | Haleluya! Msifuni Mungu! (Music Video)

Korean Christian Song | Upendo wa Kweli wa Mungu | Haleluya! Msifuni Mungu! (Music Video)

Leo naja mbele ya Mungu tena,
naona uso Wake wa kupendeza.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
kufurahia neno Lake kunanijaza na furaha.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
moyo wangu una mengi ya kusema.
Ni maneno Yake mororo yanayoninyunyizia
na kunirutubisha ili nikue.
Ni maneno Yake makali yanayonitia moyo ili nisimame tena.
Ee Mungu! Tunaweza kukusifu kwa kuwa Umetuinua!
Tunaweza kukuimbia leo yote
kwa sababu ya baraka na neema Yako.

Ee Mungu, Unatupenda sana kweli!
Unatufanya tufurahie maneno Yako kila siku!
Ee Mungu, Unatupenda sana kweli! Unatupa nuru kila siku!
Ee Mungu, Unatupenda sana kweli!
Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako.
Unatuepusha na ushawishi wa Shetani.
Ndugu, fanyeni upesi na muinuke! Tumsifu Mungu wetu!
Hebu tufurahie jinsi ambavyo Ametukusanya hapa leo.
Tuwe huru kabisa kutokana na mizigo ya mwili!
Sifa kwa Mwenyezi Mungu kwa bidii!
Tutimize wajibu wetu kwa moyo wetu wote na nguvu zote,
tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu kwa matendo.
Tutakupenda milele, Mwenyezi Mungu wa Kweli!

kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433
CAG Hymns – Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma.

Maudhui ya video hii yametafsiriwa yote na wafasiri wataalam. Hata hivyo, kutokana na tofauti za lugha n.k., makosa kadhaa yaliyofanywa hayawezi kuepukika. Ukigundua makosa yoyote kama hayo, tafadhali rejea kwa toleo la kwanza la Kichina. Tafadhali jihisi huru kuwasiliana nasi.

Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa:
FG LUT(https://filtergrade.com/free-cinematic-luts-video-editing/) By Filtergrade/CC BY 3.0(https://creativecommons.org/licenses/by/3.0/)

#nyimbozakabudu #nyimbozainjili #nyimbozawokovu #nyimbompya #swahiligospelsong #swahiligospel #Injili #kikristo #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #KanisalaMwenyeziMungu


Shop Now: Bible, songs & etc 


1. Follow us on our official WhatsApp channel for the latest songs and key updates!


2. Subscribe to Our Official YouTube Channel


Keywords: Tamil Christian song lyrics, Telugu Christian song lyrics, Hindi Christian song lyrics, Malayalam Christian song lyrics, Kannada Christian song lyrics, Tamil Worship song lyrics, Worship song lyrics, Christmas songs & more!


Disclaimer: "The lyrics are the property and copyright of their original owners. The lyrics provided here are for personal and educational purposes only."


We will be happy to hear your thoughts

      Leave a reply

      Welcome to Christianmedias’ Tamil Christian Song Lyrics. Here, you will find lyrics for many of your favorite songs from today’s top contemporary Christian music artists. Our collection includes Gospel music lyrics, contemporary Christian music lyrics, and  Gospel song lyrics.

      Tamil Christian Song Lyrics

      Tamil Christian music inspires and comforts believers globally, blending biblical truths with beautiful melodies and meaningful lyrics. world Tamil christians explores the collections of Tamil Christian song lyrics, Daily Bible verse and worship songs lyrics,new year songs,christmas songs & more.
      WorldTamilchristians -The Collections of Tamil Christians songs Lyrics
      Logo