Essence of Worship – Shangilia (Official Music Video)

Essence of Worship – Shangilia

(Pre-Chorus)
Shangilia, piga kelele kwa Bwana
Shangilia, sifu Bwana wa maBwana
x3

ametukuka milele ametukuka x6

Shangilia, piga kelele kwa Bwana
Shangilia, sifu Bwana wa maBwana
x3

(Repeat Chorus & Pre-Chorus)
Verse 1
Eh Bwana jina lako la milele
Kumbukumbu la vizazi hata vizazi
X2
Verse 2
Mataifa yote msifu Bwana
Enyi watu wote mhimidini
X2
Verse 3
Msifuni kwa mfumo baragumu
Msifuni kwa vinanda na vinubi
Msifuni kwa matari na kucheza
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana
(Chorus)
(Chorus & Pre-Chorus)

“Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi; Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi; Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana. Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.”
‭‭Zab‬ ‭150:1-6‬ ‭

Audio Production- Fresters records
Video Production- Silvester Daniel / Syberpic films
Light- Allan Lights
Sound- Jeddy Audio
Venue – CCC Upanga
Screen- Anuary
Graphics- Daniel George,Jimmy Bliss , Yohana (jooh graphics).

#essenceofworship#shangilia#OfficialVideo


Shop Now: Bible, songs & etc 


1. Follow us on our official WhatsApp channel for the latest songs and key updates!


2. Subscribe to Our Official YouTube Channel


Keywords: Tamil Christian song lyrics, Telugu Christian song lyrics, Hindi Christian song lyrics, Malayalam Christian song lyrics, Kannada Christian song lyrics, Tamil Worship song lyrics, Worship song lyrics, Christmas songs & more!


Disclaimer: "The lyrics are the property and copyright of their original owners. The lyrics provided here are for personal and educational purposes only."


We will be happy to hear your thoughts

      Leave a reply

      Welcome to Christianmedias’ Tamil Christian Song Lyrics. Here, you will find lyrics for many of your favorite songs from today’s top contemporary Christian music artists. Our collection includes Gospel music lyrics, contemporary Christian music lyrics, and  Gospel song lyrics.

      Tamil Christian Song Lyrics

      Tamil Christian music inspires and comforts believers globally, blending biblical truths with beautiful melodies and meaningful lyrics. world Tamil christians explores the collections of Tamil Christian song lyrics, Daily Bible verse and worship songs lyrics,new year songs,christmas songs & more.
      WorldTamilchristians -The Collections of Tamil Christians songs Lyrics
      Logo