Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite – Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 au +255 743 731 937
Miongoni mwa nyimbo bora za Kwaya Katoliki, tusikilize na Kutazama kwa afya ya Roho zetu.
Tusikilize sauti tamu na Maneno Matamu kutoka kwa wanakwaya hawa.
Mungu atubariki sote.
Tunapoendelea kuomba Mungu amimine neema kwetu, tuendelee pia kuzitafuta habari zake, habari za mwana wake Yesu Kristo, Habari za Yesu.
Keywords: Tamil Christian song lyrics, Telugu Christian song lyrics, Hindi Christian song lyrics, Malayalam Christian song lyrics, Kannada Christian song lyrics, Tamil Worship song lyrics, Worship song lyrics, Christmas songs & more!
Disclaimer: "The lyrics are the property and copyright of their original owners. The lyrics provided here are (Adapted from multiple sources)for personal and educational purposes only."